Chuchu Afunguka Kuhusu Weupe wa Mpenzi Wake...
Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mpenzi wa Ray Kigosi amefunguka na kusema hapendi watu wanapokuwa wana msema mchumba wake Ray Kigosi kuwa amejichubua na kudai anaamua kupuuza ila huwa hapendezwi na suala hilo. Chuchu Hans alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWZ jana na kudai kuwa mpenzi wake huyo kwa sasa amependeza kutokana […]
Read More..