Good News!! Filamu ya Kiumeni kutazamwa nch...
Taarifa ikufikie kuwa filamu ya Kiumeni kutokea nchini Tanzania inaweza kuwa ya kwanza kutazamwa katika Cinemas nchini Marekani ambapo filamu hiyo iliachiwa rasmi Mlimani City Century Cinemax Jijini Dar es salaam March 15,2017. Kupitia Instagram account ya Idris Sultan ambaye ni mmoja kati ya waigizaji katika filamu hiyo ya Kiumeni aliandika caption inayosema “Kwa mashabiki zangu mliopo Marekani na wanaonichukia pia Filamu ya kiumeni itaonyeshwa […]
Read More..