-->

Tag Archives: LINNAH

Natamani kuwa na Mahusiano na Wizkid-Linah ...

Post Image

Msanii wa bongo fleva nchini Linah Sanga amefunguka na kusema kuwa alikuwa anatamani na bado anatamani sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii Wizkid kutoka nchini Nigeria. Akipiga stori kwenye kipindi cha eNEWS kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana (EATV) Linah Sanga alisema kuwa toka kipindi cha nyuma alikuwa anatamani kuwa na msanii […]

Read More..

Linah Alala na Wizkid Hotelini

Post Image

Imefichuka! Hatimaye ishu ya wanamuziki wa Bongo, Estelina Sanga ‘Linah’, kudaiwa kulala kitanda kimoja na msanii wa muziki kutoka Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’, imebumburuka. Baada ya kuandamwa na skendo hiyo ya kutoka kimapenzi na Wizkid huku mashabiki wake waliyo wengi wakishindwa kuamini juu ya uhusiano huo, hatimaye sasa mambo yamevuja na kujidhihirisha kuwa kweli staa […]

Read More..

Majungu Yanaturudisha Nyuma Wasanii wa Kike...

Post Image

Mwanadada kunako muziki wa Bongo fleva, Linah Sanga, ametoa yaliyo moyoni kwa kuweka wazi kuwa wasanii wengi wa kike hapa Bongo wameshindwa kufanikiwa kwenye muziki kutokana na kuendekeza majungu badala ya kufanya kazi. Linah amesema kitendo hicho kimekuwa kikiwarudusha nyuma na kusema ni wakati sasa kwa wasanii wa kike kujitafakari na kufanya kazi kwa ushirikiano. […]

Read More..

Linnah Afunguka Sababu za Wasanii wa Kike K...

Post Image

Kwenye upande wa game la muziki nadhani hii iko world wide kwamba watoto wa kike wako wachache sana,hata kibongo bongo pia,sasa kuhusiana na game la kibongo linah ana sababu zake ambazo anahisi ndizo zinazosababisha watoto wakike hawatusui kibongo bongo lakini. ‘’Tumekuwa hatuko ‘real’ tuna nafikiana sana maneno huyu kampelekea huyu,mara kutengenezeana stori,halafu vitu vingine zinakuwa […]

Read More..