Kambi Kupaa Kimataifa

MKONGWE kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Hashim Kambi amesema anamshukuru Mungu kwa kumaliza na kuuona Mwaka Mpya akiwa nchini Marekani huku akiahidi kuzidi kutusua kimataifa mwaka huu. Akizungumza na Swaggaz kwa njia ya simu kutokea Washington DC, Marekani, Kambi amesema yupo katika hatua za mwisho kukamilisha sinema mpya anayorekodi nchini humo akiwa na mwigizaji […]
Read More..