Babu Seya na Papii Kocha rasmi waingia stud...
Wasanii wa muziki wa dance nchini ambao wameachiwa hivi karibuni kutoka gerezani kwa msamaha wa Rais JPM, Babu Seya na Papii Kocha Leo January 5, 2017 wametembelea studio za Wanene ambapo walipelekwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza. Wasanii hao baada ya kutembelea studio za Wanene walifanya mazungumzo na Uongozi wa […]
Read More..