Haya ndio maamuzi aliyoyafanya Shilole

Story inayo-trend kwenye mitandao ya kijamii ni hii baada ya Wema Sepetu ku-post picha ya ua rose jekundu na kuwa tofauti na wengine hii ni kutokana na wengi kuzoea kuona ua jeusi ku-trend na kutafsriwa kama ishara ya penzi kuvunjika. Ila kwa upande wa staa wa muziki Shilole “Shishi baby” ameamua kuja na maamuzi yake juu ya ua lake […]
Read More..