Familia nyingi zina siri ingawa zinatofautina, Siri zinaweza kuhusiana na miiko, ukatili, mahusiano, magonjwa, uhalifu,mauaji, ubakaji. Jambo lolote ambalo mtu au famila inadhani linaweza kuleta tafarani,linafanywa siri.
Hata hivyo hakuna siri ya watu wengi au ya muda mrefu kwani hatimaye hufichuka je nini hutokea pale?
Tamthiliya Ya ” Siri za Familiya ” Inakuja katika mfumo wa DVD na Tarehe 15 August 2016 Itatoka Rasmi na Kupatikana Madukani kote. Kaa tayari kufuatilia Tamthiliya hii.
Mtayarishaji – DayanaWilliam
Muongozaji – SanctusMtsimbe
Washiriki – Mrisho Zimbwe {#Carlos} , Sharifa Mansoory {#Sheila} , Obama Salim Japai {#Obama} , Dayana William {#PrincessDayana} ,Jaqueline Rabiel {#Cleopatra} , Tony Mollel {#Tony} na Wengine Wengi.
Excutive Producer – Steps Entertainment Ltd
Comments
comments