MWIGIZAJI wa filamu Swahilihood Suleiman Barafu amesema kuwa wakati kuna wakati wa filamu nchini hawatoi nafasi kwa waigizaji wenye uwezo kama yeye watayarishaji wa filamu wa nje wanawaona na kuwaita kwa ajili ya kushiriki katika kazi zao, na anafanya kazi nchini Kenya.
“Nashukru Mungu kazi yangu ya uigizaji imefika mbali kwani kama inafikia mtayarishaji kutoka nchi kama Kenya anakutafuta na kukupa kazi ujue wewe unajua, naitwa wakati ndani nabaniwa nje natoboa sijui tunaogopana,”analiuza Barafu.
Barafu mwigizaji na mtayarishaji ambaye pia utumika katika matangazo mbalimbali anasema anafurahia kuigiza Kenya katika tamthilia ya Moyo kwani amechukuliwa kama mwigizaji mahiri kama ingekuwa katika mpira angesema ni mchezaji wa kulipwa na anapokuwa nchini humo uchukuliwa kama mwigizaji maalum.
Central Filamu
Comments
comments