Artists News in Tanzania

Uwoya Amponza Shamsa

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ameoga mvua ya matusi kutoka kwa baadhi ya mastaa wa Bongo Movies baada ya kusema hakuna staa mzuri wa kike kwenye tasnia hiyo kumzidi mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya.

Shamsa

Shamsa aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, haogopi matusi yao hata kidogo kwani anaonekana mbaya kwa sababu alisema ukweli ambao upo na wala haupingiki.

“Ninawashangaa sana, mtu ukizungumza ukweli ni shida maana watu wananipigia simu mfululizo wakati jambo lenyewe liko wazi kabisa na ninasisitiza, hakuna mwanamke mzuri Bongo Movies kama Uwoya. Kwa nini hawataki kumpa mtu sifa zake jamani?” alihoji Shamsa.

Chanzo:GPL

 

Comments

comments

Exit mobile version