VIDEO: Ben Pol Ataja Sababu za Ebitoke kuwa Mke wa Ndoa Baada ya Kukutana
WAKATI picha zikiendelea kutapakaa katika mitandao ya kijamii kuhusu mkali wa RnB nchini, Bernard Paul ‘Ben Pol’ kuwa na msanii wa vichekesho Ebitoke, hatimaye mwanamuziki huyo ameamua kufunguka kuhusu jinsi alivyokutana na kuzungumza pamoja na kutaja sifa za msichana huyo kuwa mke wa ndoa .