DODOMA: WASANII wa filamu nchini, Bongo Movie pamoja na wale wa muziki, Bongo Fleva jana waliibuka kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma wakati waziri Dkt. Harrison Mwakyembe akisoma bajeti ya makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2017/2018.
Comments
comments