Video: Harmorapa Ft Juma Nature – Kiboko ya Mabishoo
editor
Msanii Harmorapa ameachai video yake mpya wimbo unaitwa ‘Kiboko ya mabishoo‘ ambao amemshirikisha mkali wa sikunyingi kwenye muziki wa Bongofleva Juma Nature. Video imeongozwa na Kwetu Studios.