Artists News in Tanzania

VIDEO: Ilinikushirikishe Nionyeshe Uwezo – Diamond

Msanii Diamond Platnum anasema toka ameanza kufanya muziki ameweza kufanya kazi na wasanii wengi lakini anadai ili akushirikishe kwenye wimbo wake lazima umuonyesha sababu, hata kama upo chini ya uongozi wake haiwezi kuwa sababu yeye kukupa shavu.

Msanii Diamond Platnumz akiwa na RayVanny wakiwa kwenye kipindi cha ‘Ngaz kwa Ngaz’

Diamond Platnumz alisema hayo kwenye kipindi cha ‘Ngaz kwa Ngaz’ kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana EATV na kusema toka ameanza muziki wasanii ambao amewahi washirikishia kwenye nyimbo zake ni watatu, yupo Chid Benz, Maua, pamoja na RayVanny.

Tazama video hii hapa akifafanua mwenyewe.


eatv.tv

Comments

comments

Exit mobile version