Mwanamuziki mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Lady Jaydee amefunguka na kusema mwezi wa nne mwaka huu anategemea kutambulishwa ukweni kwa mchumba wake Spicy nchini Nigeria.
Mbali na hilo Lady Jaydee amewataka watanzania pamoja na vituo mbalimbali vya radio kuacha uchonganishi kwa kuwapambanisha wasanii kwani kwa kufanya hilo ndiyo inajenga chuki na kufanya mashabiki waanze kuwapambanisha wasanii.
eatv.tv
Comments
comments