Artists News in Tanzania

Video: Joti Afunga Ndoa au Tangazo?

Picha na video za msanii mchekeshaji, Joti akionekana amefunga ndoa siku ya leo. Ukweli wa kama ni ndoa ya kweli au ni moja ya kazi yake za matangazo ndiyo mjadala unaoendelea hadi sasa.
Tazama video hii

Comments

comments

Exit mobile version