Artists News in Tanzania

VIDEO: Manji Asema Atakwenda Polisi Kesho

Mfanyabiashara Yusufu Manji amesema kuwa atakwenda Kituo cha Polisi kesho kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alivyotaka.

Mfanyabiashara Yusufu Manji

Manji amesema kuwa pamoja na kuwa Makonda ametaka wafike Ijumaa yeye atakwenda kesho huku akihoji kuwa inawezekanaje wakaitwa watu 65 kuhojiwa kama hakuna shughuli za kufanya kwa siku nzima.

Amesema atakwenda polisi lakini pia hilo suala halitaisha hivyohivyo kwani atakwenda naye hadi mwisho.

 

 

Comments

comments

Exit mobile version