Video: Show ya Diamond Kwenye Ufunguzi wa AFCON 2017
editor
Jumamosi hii Diamond Platnumz na dancers wake, akishirikiana na wasanii wengine akiwemo Mohombi na Lumino, walitumbuiza kwenye ufunguzi wa kombe la AFCON 2017 nchini Gabon. Tazama video hiyo chini.