Artists News in Tanzania

VideoMpya: Bruno Mars ameiachia hii aliyomshirikisha Cardi B, Finesse Remix karibu uitazame

January 4, 2018, Video ya mkali kutokea United State Bruno Mars ameachia wimbo wake wa Finesse Remix ambapo amemshirikisha rapa Cardi B, Director katika wimbo huu ni yeye mwenyewe Bruno Mars akisaidiana na Florent Dechard.

Comments

comments

Exit mobile version