Artists News in Tanzania

VideoMpya : Enock Bella wa Yamoto ameiachia Ngoma mpya ‘Nitazoea’


Msanii wa Bongofleva aliyekuwa anaunda kundi la Yamoto Band Enock Bella leo December 29 2017 ameachia video ya single yake ya pili baada ya kuanza kufanya kazi kama solo artist, bonyeza PLAY kuitazama inaitwa ‘Nitazoea’

Comments

comments

Exit mobile version