VIDEOMPYA: Nini ameachia hii aliyomshirikisha Nay wa mitego, Niwe dawa karibu uitazame
chery
Nini ambaye anafanya vizuri na nyimbo zake safari hii anakualika kuufungua mwaka na video yake ya “Niwe dawa” aliyomshirikisha mkali wa HipHop bongo Nay Wa Mitego.