Artists News in Tanzania

VideoMPYA: Nyimbo ya kwanza ya MBOSSO baada ya kutambulishwa WCB

Baada ya kimya cha muda mrefu cha muimbaji wa Bongofleva Mbosso aliyekuwa member wa Yamoto BandMbosso leo ametambulishwa rasmi kuwa msanii wa sita kusainiwa na WCB baada ya HarmonizeRayvannyRich MavokoQueen Darleen na Lava Lava , baada ya utambulisho tu Mbosso ameachia video yake mpya inaitwa ‘Watakubali’

Comments

comments

Exit mobile version