VideoMpya: Prof Jay ametuletea ‘PAGAMISA’ amemshirikisha Mr T Touch
Mbunge anaeongoza binadamu na wanyama Joseph Haule ambae ni Mbunge wa Mikumi wengi tunamfahamu kama Prof. Jay katuletea video ya wimbo wake wa ‘Pagamisa’ akiwa kamshirikisha Producer Mr T Touch.