Msanii maarufu wa Filamu kutoka Tanzania ( Industry ya Bongo Movies) Ndg. Vincent Kigosi aka ” Ray ” leo ameandika kwenye ukurassa wake wa Instagram “ VOTE FOR ME AS BEST MALE MOVIE STAR ” .
Hii ikiimanisha kuwa kwa upande wa wasanii wa filamu wa kiume jina lake limeingia kwenye orodha ya wasanii 14 TU ambao wanashindania tuzo katika category hii ya “BEST MALE MOVIE STAR”.
Kupiga kura ni rahisi sana -haizidi dakika 1. Hatua tatu tu zinatakiwa kufuatwa:
1. Bofya lInk iliyoko hapo chini iliyoandikwa “Vote here “au click picha yake iliyoko hapa chini kwenye hii taarifa.
2. Angalia orodha niliyoionyesha hapo juu (1) utaona majina ya washindani akiwemo yeye :Chagua jina – gusa kwenye kiduara –
3. Ukishachagua jina malizia kwa Kobofya “Vote“.
Wasanii na mashabiki wa Filamu popote pale mlipo tupeane support. Tushikamane, ushindi wake ni ushindi wetu. Tumpe zawadi hii kwa upendo.
PIGA KURA CLICK/BOFYA vote here/ au click picha yake kuingia kwenye majina ya kupigia kura.
The African Prestigious Awards is all about Achievers, Super Achievers and Future Leaders.
Tujikumbushie moja kati ya baadhi ya Movies za mkali huyu hapa chini
Comments
comments