Artists News in Tanzania

Wapenzi na Mashabiki wa Jerusalem Films na Bongo Movies kwa Ujumla, Pitieni hapa

Kutoka kwa mkurugenzi wa Jerusalem films, Jacob Stephen ‘JB’

Shamsa Ford Akiwa na Baba Haji

Shamsa Ford Akiwa na Baba Haji

RATIBA kutoka Jerusalem films, movie yetu itakayo fata baada ya Chungu cha Tattu ni Chale Mvuvi, washiriki ni Shamsa Ford na Haji Adam ‘Baba Haji’, Mzee Halikuniki, Makombora , Mzee Chepuo na wengine. Movie hii ili tengenezewa zanzibar mwaka 2013, movie hii itafuatiwa na Kalambati Lobo, washiriki Diana kimaro na Jacob Stephen. Movie hii ilitengenezwa mwaka 2014. Sasa hivi tuko kwenye maandalizi ya mwisho kufanya movie na King Majuto itakayo toka Dec mwakani, kisha tuanze ile tamthilia yetu. Endelea kuangalia filamu za Jerusalem.

@jb_jerusalemfilms on Instagram

Comments

comments

Exit mobile version