Artists News in Tanzania

Waziri Nape Jukwaani na Ray C, Leaders Kwenye Shoo Usiku (VIDEO)

WAZIRI wa Habari, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nauye kuonyesha kweli anausapoti muziki wa Bongo fleva ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha sanaa na kuwahamasisha vijana wajiajiri kupitia sanaa, Nape alipanda jukwaani kuimba pamoja na Ray c.

Nape Nauye akiwa stejini

Ni katika tamasha lilofanyika  Leaders Club ambako kulikuwa na shoo baab kubwa iliyokuwa ikiwakutanisha vinara wa RnB hapa Bongo, ambao ni Juma Jux, Ben Pol pamoja na Barakah da Prince.

Comments

comments

Exit mobile version