-->

Wema Sepetu Ampongeza Ommy Dimpoz

Baada ya hapo jana Ommy Dimpoz kufunguka kiundani kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kwa kuelezea kilichopelekea akosane na rafiki yake wa zamani, Diamond Platnumz – Wema Sepetu amempongeza kwa kile alichokifanya.

wema_na_ommy_dimpoz

Malkia huyo wa filamu nchini, amempongeza hitmaker huyo wa Kajiandae kwa kumsifia kuwa ni mpole na mwenye busara ila alipenda kile alichokifanya kwenye mahojiano yake hayo.

Kupitia mtandao wa Instagram, Wema ameandika.

Busara, Upole, Hekma… Thats wat u r made of… Im very very Proud and Impressed kwakweli… Mnyonge mnyongeni haki yaki mpeni… Sasa sio mje muanze kusema sijui napick sides… Nooooo…!!! Sina side maana na mimi pia ni outsider tu… But kwa leo nimependa ulichofanya Ommy…. Forever Bae… ??Sometimes being the bigger person doesnt hurt… @ommydimpoz

Bongo5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364