Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambae kwa sasa ametibuana na aliekuwa rafiki yake Munalove amesema kuwa Muna ni msamba.
Akihujiwa na e newz juu ya bifu lake na Muna, Wema alidai kuwa Kudai kuwa yeye huwa hadeal na washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea….
‘Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo’-Wema alisema.
By Barafu on JF
Comments
comments