Artists News in Tanzania

Wolper Ampiga Chini Harmonize Kupitia Instagram

Staa wa Bongo Movie,Jacqueline Wolper amefunguka rasmi kumbwaga Harmonize kupitia  mtandao wa Instagram. Hata hivyo posthiyo haikuweza kukaa kwa muda mrefu – imefutwa, japo wapo waliowahi kuinasa mapema.

Kwenye post hiyo iliyokuwa na picha ya Harmonize pamoja na emoji za alama ya kopa iliyopasuka, Wolper ameandika: Nina akili timamu me syo mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate love.”

Comments

comments

Exit mobile version