Wasanii wa Boongo Movies, Yusuph Mlela ‘Yusuph Mlela ‘Mlelandro’ na mrembo Chuchu Hans wakatikunikisha ndani ya Filamu ya Mr BodaBoba Msomi.
Filamu ya Mr. Bodaboda Msomi ni filamu ya aida yake inayazungumzia maisha halisi ya biashara nzima ya boda boda yakiwepo matukioa ya uhalifu na mapenzi ndani.
Kutoka Steps Entertainment, Filamu hii itaingia sokoni muda si mrefu.
Tazama Trailer ya filamu hiyo;
Comments
comments