Artists News in Tanzania

Zari: Wakiniita ‘Bi Kizee’ Huwa Najiangalia Kwenye Kioo Najiona Mrembo Sana

zari71

Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni mkubwa kuliko mpenzi wake Diamond.

‘’Naona kwenye Instagram wakiniita mie mzee,lakini nitafanyeje,lakini nikijiangalia kwenye kioo najiona mrembo sana,’’Alisema Zari.

Comments

comments

Exit mobile version